Milioni 20 ya Mama kibindoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 May 2023
Milioni 20 ya Mama kibindoni

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Marumo Gallants leo katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika mkondo wa kwanza, Yanga imevuna Tsh Milioni 20 kutoka kwa bonas ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan

Rais aliongeza dau la bonas kutoka Milioni 5 kuwa Milioni 10 kuanzia hatua ya nusu fainali ambayo ni Yanga pekee iliyofanikiwa kufuzu baada ya watani zao Simba kundoshwa hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa

Sasa Yanga imevuna jumla ya Tsh Milioni 70 za bonas kutoka mabao 12 waliyofunga kuanzia hatua ya makundi

Yanga imeendelea kuiheshimisha Tanzania sasa ikibakiwa na dakika 90 tu kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’