Leo Yanga inashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21.
Baada ya Azam FC kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC jana, imepanda hadi nafasi ya pili lakini Yanga inaweza kurejea katika nafasi hiyo kama itashinda au kutoka sare kwenye mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar leo.
Ushindi pia utaifanya Yanga iikaribie Simba kwani itafikisha alama 43 hivyo kufanya timu hizo ziwe na tofauti ya alama tatu pekee.

ADVERTISE HERE