Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida BS jana na kusogea karibu ya ubingwa wa 29, kikosi cha Yanga kiliondoka mkoani Singida jana usiku kurejea Dodoma ambapo leo wataianza safari ya kurudi Dar es salaam
Yanga itakuwa na siku nne za kukamilisha maandalizi ya mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Malumo Gallants
Mchezo huo utapigwa Jumatano, May 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Safari ya kuisaka fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika inaanza sasa
ADVERTISE HERE