Baada ya kutua mkoani Singida mapema leo, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida BS ambao utapigwa Alhamisi, May 04 katika uwanja wa LITI

ADVERTISE HERE