Watano Yanga waitwa kikosi cha Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2018
Watano Yanga waitwa kikosi cha Stars
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Salum Mayanga, ametaja majina 23 ya wachezaji walioitwa kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya kujiwinda na michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo.

Stars itacheza michezo hiyo ya kirafiki ambayo ni kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, ambapo Machi 22 watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Algeria na Machi 27 watakuwa na kibarua dhidi ya Congo hapa nchini.

Miongoni mwa wachezaji hao walioitwa wamo, Ramadhani Kabwili, Hassani Kessy, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Ibrahim Ajib kutoka kikosi cha Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’