Kiungo fundi wa mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga, Thabani Kamusoko amewasili leo na kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga.
Kamusoko alikuwa akisubiriwa kwa hamu na WanaYanga.
Ndiye pekee aliyekuwa amebaki kusaini mkataba mpya kwa wachezaji wa Kimataifa ambao klabu imeamua kuendelea nao.
Wengine ni Amissi Tambwe na Donald Ngoma wakati Obrey Chirwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja.
Sasa anaungana na kikosi cha Yanga ambacho kilianza mazoezi makali ya kujiandaa na msimu mpya wiki iliyopita.

ADVERTISE HERE