Tuzo ya mabao 50 kwa Mayele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2023
Tuzo ya mabao 50 kwa Mayele

Klabu ya Yanga leo imefanya tukio la aina yake kwa kumtuza mshambuliaji Fiston Mayele aliyefikisha mabao 50

Huu ukiwa msimu wake wa pili na Yanga, Mayele alifikisha rekodi hiyo ya mabao. Kwa kutambua mchango wake klabu ya Yanga ilimtengenezea jezi maalum inayowakilisha mafanikio aliyopata

Mayele amewashukuru viongozi wa Yanga kwa kutambua mafanikio yake lakini pia amewashukuru wachezaji wenzake na benchi la ufundi kwa kumsaidia kufikia rekodi hiyo

"Hii rekodi sio yangu peke angu, kuna watu wamenisaidia hivyo lazima nishakuru wachezaji wenzangu na benchi la ufundi kwa kuniamini"

"Hatuwezi kuishia hapa safari bado inaendelea tunamuomba Mwenye ez Mungu atusaidie tuweze kwenye mechi ya kesho tuweze kupata ushindi," alisema Mayele

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
56m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’