Sasa itafahamika, nani ajifunze kwa mwenzake

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
29 Apr 2023
Sasa itafahamika, nani ajifunze kwa mwenzake

Kesho Jumapili Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kukabiliana na Rivers United katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Yanga ilipata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa huko Nigeria wiki iliyopita

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi na kikosi chake, wanakwenda kutoa somo la kutinga nusu fainali

ROBO FAINALI haipaswi kuwa kombe, malengo ya timu katika mashindano lazima yaelekezwe kwenye zawadi kubwa

Ni nafasi kwa Wananchi kuonja raha ya kucheza nusu fainali ya michuano mikubwa barani Afrika

Haitakuwa rahisi lakini imani ni kubwa Wananchi wanaweza kuandika rekodi ambayo baadhi ya timu zimejaribu kuifikia katika miaka mitano pasipo mafanikio

Kwa majirani zetu, ni vyema kesho wakawahi pale uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwa na kalamu na karatasi zao kujifunza vile timu bora inafuzu NUSU FAINALI

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’