Singida United yaendelea kusuasua VPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2018
Singida United yaendelea kusuasua VPL
Ukiacha mchezo wa Kimataifa wa kombe la Shirikisho kati ya Simba dhidi ya Al Masry uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2, leo kulikuwa na michezo miwili ya ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa 21.

Mkoani Mbeya, wenyeji Mbeya City wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC kwenye mchezo uliopigwa katika uwanja wa Sokoine.

Kule mkoani Singida kwenye dimba la Namfua, Ruvu Shooting 'wapapasaji' nusura waipapase Singida United kwenye dimba lao la nyumbani baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1.

Issa Kanduru aliitanguliza Ruvu Shooting kwenye dakika ya saba lakini Kenedy Juma akawanusu wenyeji na kipigo baada ya kuisawazishia Singida United kwenye dakika ya 73

Michezo mingine minne inatarajiwa kupigwa kesho Alhamisi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’