Rais Samia anaweza kuungana na Wananchi kwa Mkapa Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2023
Rais Samia anaweza kuungana na Wananchi kwa Mkapa Jumapili

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Samia Suluhu anaweza kuhudhuria wanjani siku ya Jumapili katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United

Jana Msigwa aliikabidhi ya Yanga kitita cha Tsh Milioni 10 baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Nigeria na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Rais Samia ameziongezea hamasa klabu za Yanga na Simba kwenye mechi za ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho kuanzia hatua ya makundi kwa kutoa bonus ya Tsh Milioni 5 kwa kila goli linalofungwa

"Rais amesema kama ratiba hazitambana atakuja kwenye mechi hii muhimu ya kuweka historia. Amesema nyie fungeni magoli kwa wingi, utaratibu ni ule ule kila goli Milioni 5, hata mkifunga magoli 10 pesa ipo," alisema Msigwa

Yanga imepachika jumla ya mabao 10 na kupokea kitita cha Tsh Milioni 50

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’