Kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili, April 30, klabu ya Yanga leo itakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam saa sita mchana

ADVERTISE HERE