Yanga vs Rivers United, nusu fainali inawezekana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2023
Yanga vs Rivers United, nusu fainali inawezekana

Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam kikiwa na mtaji wa mabao 2-0 ushindi waliopata huko Nigeria kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza, robo fainali kombe la Shirikisho la CAF

Jumapili April 30 2023, Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kukamilisha mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Rivers United Wananchi wakihitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare ili kutinga nusu fainali

Yanga ina nafasi ya kuweka historia ya kutinga nusu fainali ya michuano hiyo, itapendeza zaidi kama mafanikio hayo yatafikiwa mbele ya mashabiki 60,000

Mashabiki wa Yanga wameaswa kununua tiiketi zao mapema ili kuwa sehemu ya historia hii ambayo Wananchi wanakaribia kuiweka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’