Wakati miamba ya soka nchini Simba na Yanga ikiwa na majukumu ya michuano ya Kimataifa hivyo michezo yao kuahirishwa, ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21 inaendelea leo Jumatano na Alhamisi kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Leo March 07, Mbeya City itaikaribisha Mbao FC kwenye uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya wakati Singida United itakuwa nyumbani Namfua kuivaa Ruvu Shootinga 'aka wapapasaji'
Michezo mingine minne inatarajiwa kupigwa kesho Alhamisi kama inavyoonekana hapa chini;
Lipuli vs Njombe Mji
Stand United vs Prisons
Majimaji vs Ndanda FC
Azam FC vs Mwadui FC
Yanga ina mchezo wa kiporo wa mzunguuko wa 20 dhidi ya Mtibwa Sugar kabla haijasafiri kwenda Zimbabwe kurudiana na Townhip Rollers March 17.

ADVERTISE HERE