Wananchi leo tumeondokewa na mwenzetu, Mwanachama maarufu aliyekuwa na misimamo mikali katika kutetea maslahi ya Yanga, Waziri Jitu
Jitu alikuwa kiongozi wa Tawi la Tandale, mshabiki mwaminifu amefariki ghafla Usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Tandale
Hakika haikuwa dunia bali mapito, Mwenye ez Mungu ailaze roho yake Mahali Pema, Peponi Amen..

ADVERTISE HERE