Kikosi cha Yanga kimewasili Lagos Nigeria kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili, April 23
Yanga itaweka kambi ya muda mfupi Lagos na kesho Ijumaa itaelekea Mji wa Uyo ambao mtanange dhidi ya Rivers utapigwa








ADVERTISE HERE