Klabu ya Yanga imetangaza kumuongezea mkataba mlinzi wake mahiri Dickson Job
Tetesi zilikuwa nyingi kumuhusu Job lakini sasa ni rasmi, Job ni Mwananchi kwa miaka mingine miwili
Ahadi ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ni kuwa hakuna mchezaji muhimu ambaye Kocha Nasreddine Nabi atapendekeza kumuhitaji ataondoka
Hii si habari njema kwa wale wa upande wa pili ambao walijaribu kuingilia 'dili' lakini wamekwama!
ADVERTISE HERE