Yanga balozi wa kupinga ukatili wa kijinsia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2023
Yanga balozi wa kupinga ukatili wa kijinsia

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk Dorothy Gwajima ameitangaza Klabu ya Yanga kuwa balozi wa kampeni ya kupinga na kutokomeza mmonyoko wa maadili na ukatili wa jinsia

Dk Gwajima alitangaza Yanga kuwa balozi wa kampeni hiyo katika mkutano na Wanahabari uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta, 

"Napenda kuchukua fursa hii kuwatambulisha rasmi Klabu ya Young Africans SC kuwa Mabalozi wa kampeni ya kupinga na kutokomeza mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia na watoto" alisema Gwajima

Akizungumza kwa niaba ya Yanga,  Rais wa Yanga, Hersi Said alisema anaungana na Waziri Gwajima katika kampeni hiyo huku akitoa rai kwa klabu za Simba na Azam na nyingine Ligi Kuu kushiriki katika kampeni hiyo

"Napenda kutoa rai kwa klabu za Simba SC, Azam FC, KMC na nyingine zote kuunga mkono kampeni hii, kampeni hii siyo mashindano ya kibiashara sote kwa pamoja tuungane na Waziri kutokomeza changamoto hizi kubwa na kuilinda jamii yetu"

"Wanachama, mashabiki na wapenzi wa klabu zetu ndio waathirika wakubwa wa hii vita dhidi ya ukatili wa kina mama na watoto, tusipowalinda kuna siku tutacheza mpira bila mashabiki uwanjani," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’