Beki wa Yanga Mamadou Doumbia amepata msiba mkubwa wa kufiwa na Baba yake mzazi uliotokea jana nchini Mali
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, Doumbia ataondoka nchini leo Ijumaa kuelekea Mali kuhudhuria msiba huo
Wananchi tunaungana nae katika kipindi hiki cha majonzi, tunatoa pole kwa familia ya Doumbia, ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huo
ADVERTISE HERE