Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra anahitaji cleansheet mbili zaidi ili kutetea tuzo yake ya kipa bora wa msimu
Baada ya kuondoka na cleansheet hapo jana katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Kagera Sugar, Diarra amefikisha cleansheet 15 wakati anayemfuata Aishi Manula ana cleansheet 12
Mechi tano zimesalia kuhitimisha msimu kama Diarra atapata cleansheet mbili atafikisha cleansheet 17 ambazo zitamtosha kuwa kipa bora kwa msimu wa pili mfululizo

ADVERTISE HERE