Yanga yakata tiketi Ligi ya Mabingwa msimu ujao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
8 Apr 2023
Yanga yakata tiketi Ligi ya Mabingwa msimu ujao

Ikiwa imesalia na mechi sita kuhitimisha ligi kuu ya NBC msimu huu, klabu ya Yanga tayari imekata  tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao

Baada ya klabu za Yanga na Simba kufanya vizuri kwenye michuano ya CAF msimu huu zote zikifanikiwa kutinga robo fainali katika kombe la Shirikisho na Ligi ya Mabingwa, Tanzania itakuwa na nafasi nne kwenye michuano ya CAF msimu ujao

Wananchi wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 65 ambazo zinaweza kufikiwa na timu moja tu, Simba

Singida BS inayoshika nafasi ya tatu ina alama 51, hata kama ikishinda mechi nne zilizobaki itafikisha alama 63

Azam Fc ambao wako nafasi ya nne wana alama 50, wakishinda mechi nne zilizosalia wanaweza kufikisha alama 62

Yanga inahitaji kushinda mechi tatu zinazofuata ili kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE →
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE →
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →