Jumamosi, April 08 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Geita Gold katika mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 2 usiku
VIP A ni Tsh 10,000/-, VIP B ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 2,000/-

ADVERTISE HERE