Goli alilofunga Mudathir Yahya kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe katika uwanja wa Benjamin Mkapa, liwania tuzo ya goli bora la hatua ya makundi Shirikisho
Wananchi twendeni tukapige kura kwa wingi Twitter ili Mudathir aweze kushinda
Choose your best #TotalEnergiesCAFCC group-stage goal now!
β TotalEnergies CAFCL - TotalEnergies CAFCC (@CAFCLCC) April 4, 2023
ADVERTISE HERE