Mapema leo, viongozi wa Yanga pamoja na Mdhamini Ghalib Said Mohamed (GSM) walitembelea na kutoa misaada kwenye kituo cha watoto wenye uhitaji cha Amani ya Bwana kilichopo Kamalondo Jijini Lubumbashi nchini Congo

ADVERTISE HERE