Kikosi cha Yanga kimewasili Lubumbashi DR usiku kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, April 02
Jana kikosi kiliondoka majira ya saa 3 usiku badala ya saa 3 asubuhi kutokana na matatizo ya kiufundi
Wananchi watakuwa na siku mbili za maandalizi kabla ya mtanange dhidi ya TP Mazembe ambao Yanga inahitaji kushinda
ADVERTISE HERE