Mlinda lango Aboutwalib Mshery ameanza mazoezi mepesi ikiwa ni hatua ya awali katika kuimarika baada ya kuwa nje kwa muda mrefu
Mshery alifanyiwa upasuaji wa goti huko Tunisia na alitarajiwa kuwa nje kwa muda mrefu
Hata hivyo baada ya kuanza mazoezi mepesi ni dalili njema kwake kuwa huenda akarejea mapema zaidi
Yanga ililazimika kumsajili mlinda lango Metacha Mnata kwa mkopo kutokea klabu ya Singida BS ili aweze kusaidiana na walinda lango waliopo wakati Mshery akiuguza majeraha
ADVERTISE HERE