Kikosi cha Yanga leo kimeingia kambini Avic Town kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe
Mchezo huo wa kuhitimisha hatua ya makundi utapigwa April 02 huko Lubumbashi, DR Congo
Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kujihakikishia kumaliza vinara wa kundi D



ADVERTISE HERE