Safari ya Lubumbashi ni Alhamisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2023
Safari ya Lubumbashi ni Alhamisi

Klabu ya Yanga imewakumbusha Wanachama na Mashabiki wake ambao wangependa kusafiri na timu DR Congo kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa April 02, safari ni Alhamisi March 30

Yanga inahitaji 'vibe' la mashabiki wake huko Lubumbashi katika mchezo ambao wanahitaji ushindi dhidi ya TP Mazembe ili kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye kundi D

Gharama ya safari ni Tsh 700,000/- ambayo ni nauli ya kwenda na kurudi, vibali, malazi ya siku tatu na tiketi ya kuingia uwanjaniΒ 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’