Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi, wachezaji 38 kutoka klabu za Ligi kuu ya NBC wameitwa kuzitumikia timu zao za Taifa kwenye mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023
Yanga imeongoza kwa kutoa wachezaji wengi kwenye timu za Taifa, nyota 12 wakiitwa katika majukumu ya timu za Taifa
Klabu ya Simba imetoa wachezaji 10 wakati Azam Fc na Kagera Sugar kila moja imetoa wachezaji wanne

ADVERTISE HERE