Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga Chrispin Ngushi
Akiwa ametumikia nusu ya mkataba wake aliosaini kuitumikia Yanga mwezi Januari 2022, Ngushi bado ana deni na Wananchi
Bado Wananchi hawajafaidi kipaji chake alichoonyesha wakati akiitumikia klabu ya Mbeya Kwanza
Majeraha imekuwa changamoto kubwa kwake inayomfanya asionekane kikosini mara kwa mara lakini sasa yuko fit akipigania nafasi yake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY NGUSHI...!
ADVERTISE HERE