FT : Yanga Princess 1-1 Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2023
FT : Yanga Princess 1-1 Simba Queens

Mtanange wa watani wa jadi kwa upande wa kinadada Yanga Princess dhidi ya Simba Queens uliopigwa uwanja wa Uhuru, umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Yanga Princess ililazimika kutokea nyuma kusawazisha kwenye kipindi cha pili kupitia kwa Wogu Succsess

Pamoja na kuwa Yanga Princess ilizihitaji alama zote tatu ili kupunguza gap la pointi dhidi ya watani zao, lakini sare hii imelinda heshima ya kutopoteza mchezo dhidi ya Simba Queens msimu huu

Katika misimu miwili sasa, Yanga Princess haijapoteza mchezo dhidi ya Simba Queens

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’