FT : Yanga 2-0 US Monastir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Mar 2023
FT : Yanga 2-0 US Monastir

Wananchiiii kisasi kimelipwa! Ndio Yanga wametinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya US Monastir

Mabao ya Kennedy Musonda na Fiston Mayele yameihakikishia Yanga alama tatu muhimu ambazo sio tu imewapeleka Wananchi robo fainali ya kombe la Shirikisho, Wananchi wamekaa kileleni mwa kundi D wakiwa na uwiano mzuri wa mabao kuliko Monastir

Ilikuwa mechi ambayo awali ilionekana kama ingekuwa ngumu kutokana na mazingira ya mvua kubwa kunyesha kwa saa kadhaa kabla ya mchezo

Hata hivyo wachezaji walipambana kuhakikisha wanautendea haki uwanja wa nyumbani na kuibuka na ushindi huo muhimu

Yanga imefikisha alama 10 ikiwa vinara wa kundi D sawa na Monastir

TP Mazembe wamepoteza mchezo dhidi ya Real Bamako kwa kuchapwa mabao 2-1 na hivyo kushushwa nafasi ya nne

Real Bamako wamepanda nafasi ya tatu wakiwa alama 5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’