Pamoja na changamoto ya mvua iliyonyesha jijini Dar es salaam tangu majira ya mchana, mashabiki wa Yanga wanaendelea kumiminika uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa kuanzia saa 1 usiku
Hii ni timu ya Wananchi, wenye timu yao ndio hao wako uwanjani





ADVERTISE HERE