Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi wamekamilisha maandalizi ya timu kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Huu ni mtanange muhimu kwa Yanga kushinda ili kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho




ADVERTISE HERE