Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ameteua wajumbe 12 watakaounda Kamati mpya ya mashindano.
Katika wajumbe hao Magid Suleiman ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wakati Mustafa Urungo atakuwa Makamu Mwenyekiti.
Wajumbe wengine
Katika wajumbe hao Magid Suleiman ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wakati Mustafa Urungo atakuwa Makamu Mwenyekiti.
Wajumbe wengine
- Urio Edward - Katibu
- Rodgers Gumbo - Mjumbe
- Omary Chuma - Mjumbe
- Yanga E Makoga - Mjumbe
- Lameck Nyambaya - Mjumbe
- Samuel Lukumay - Mjumbe
- Hussein Nyika - Mjumbe
- Edgar B Mutani - Mjumbe
- Leonard Chinganga - Mjumbe
- Yusuph Mohammed - Mjumbe
ADVERTISE HERE