Wanachama na Mashabiki wa Yanga jijini Dar es salaam leo watakutana Mazese katika tukio kubwa la hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa Jumapili, March 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Msanii wa Bongo Fleva Madee Ali maarufu Rais wa Manzese, ataongoza shamrashamra hizo kuanzia saa sita mchana
Mashabiki watapata fursa ya kununua tiketi pia kuzungumza ana kwa ana na viongozi pamoja na baadhi ya wachezaji

ADVERTISE HERE