Mwananchi kamata tiketi yako mapema ili kuwa sehemu ya historia ambayo Yanga inakwenda kuiwania pale uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili katika mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir
Yanga inahitaji ushindi tu ili kutinga robo fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza katika historia yake
Tangu michuano hiyo ilipobadilishwa muundo, Yanga imeshiriki na kufika hatua ya makundi mara mbili mwaka 2016 na 2018
Lakini mwaka huu imepata nafasi adimu ya kufuzu robo fainali katika ardhi ya nyumbani
Mwananchi huna sababu ya kukosa uwanjani siku ya Jumapili kushuhudia mtanange wa kuipeleka Yanga robo fainali...!



ADVERTISE HERE