Taarifa muhimu kwa wale wanaotaka kusafiri na Yanga Botswana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2018
Taarifa muhimu kwa wale wanaotaka kusafiri na Yanga Botswana
Mwanachama au shabiki yeyote wa Yanga ambaye angependa kuambatana na kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa marejeano ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers jijini Gaborone nauli ni USD 498 kwenda na kurudi.

Kwa kujiandikisha ni Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam.

Mchezo huo utapigwa March 17, 2018 baada ya mchezo wa kwanza unaopigwa Jumanne ijayo, March 06, 2018
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’