Rais wa Yanga Injinia Hersi Said akiongozana na viongozi waandamizi wa klabu hiyo, leo mchana walishiriki kwenye mazishi ya mtoto wa kiungo Salum Abubakar aliyefariki dunia mapema leo
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, AMEN




ADVERTISE HERE