Klabu ya Yanga imetuma salamu za rambirambi kwa kiungo Salum Abubakar 'Sureboy' ambaye leo amepata msiba wa kufiwa na mtoto wake Feisal Salum Abubakar katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Yanga imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba, Mwenye ez Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

ADVERTISE HERE