Yanga imeendelea na 'mkosi' wa kucheza ugenini kwenye michuano ya kombe la FA (ASFC) baada ya kupangiwa kucheza na Singida United kwenye mchezo wa robo fainali, uwanja wa Namfua mkoani Singida.
Droo ya robo fainali ya michuano hiyo imefanyika leo.
Droo ya robo fainali ya michuano hiyo imefanyika leo.
ADVERTISE HERE