Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mkurugenzi wa Sheria klabu ya Yanga Simon Patrick
Wakili Msomi ambaye pia ni Mwalimu wa Sheria na Mwanasheria Msaidizi wa Mahamaka ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ndiye anayehakikisha masuala yote ya kisheria katika klabu ya Yanga yako salama
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY SIMON..!
ADVERTISE HERE