Mayele, Aziz Ki waitwa timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2023
Mayele, Aziz Ki waitwa timu za Taifa

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa ya DR Congo kitakachojiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

DR Congo watacheza na Mauritania mwezi Machi 2023

Mayele amekuwa na mafanikio makubwa tangu alipotua Yanga akitokea klabu ya AS Vita msimu uliopita

Ilikuwa suala la muda tu kwake kuitwa timu ya Taifa kwa mara nyingine tena

Nae kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Burkina Faso

Aziz Ki amekuwa sehemu ya kikosi cha Burkina Faso katika misimu mitatu iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’