Msafara wa kikosi cha Yanga uliwasili Ethiopia jana usiku na wachezaji kupata muda wa mapumziko mpaka leo asubuhi
Wanaondoka Ethiopia leo kurejea Tanzania ambapo wanatarajiwa kuwasili majira ya mchana
Baada ya kutua Yanga itakuwa na siku mbili za maandalizi kabla ya kushuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa kombe la FA utakaopigwa siku ya Ijumaa



ADVERTISE HERE