Yanga yaondoka Mali kurejea Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2023
Yanga yaondoka Mali kurejea Tanzania

Kikosi cha Yanga kimeondoka Mali kurejea Tanzania tayari kwa maandalizi ya mechi zinazofuata kwenye ligi kuu, kombe la Fa na kombe la Shirikisho barani Afrika

Jana Yanga ilipata alama alama moja muhimu dhidi ya Real Bamako katika mchezo wa kundi D, kombe la Shirikisho uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Matokeo hayo yameibakisha Yanga kwenye nafasi ya pili ikiwa na alama nne baada ya mechi tatu wakiwa nyuma ya vinara US Monastir wenye alama saba

Yanga ina mechi mbili mfululizo katika uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Real Bamako (Machi 08) na US Monastir (Machi 19)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
55m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’