Happy Birthday Diarra

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2023
Happy Birthday Diarra

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinda lango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra

Wananchi wanajivunia kamanda huyu mdaka mishale ambaye ndiye kinara wa 'cleansheet' katika ligi kuu ya NBC akiwa nazo 14 tatu zaidi ya anayemfuatia Aishi Manula wa Simba

Diarra alitwaa tuzo ya kipa bora wa ligi kuu msimu uliopita na huenda akatwaa tena tuzo hiyo msimu huu

Ni mchezaji kiongozi, awapo uwanjani anajituma na kutoa mchango wake kwa asilimia 100

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY DIARRA....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’