Yanga imefikisha alama nne baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Real Bamako
Ni mtokeo ambayo bado yanaiweka Yanga katika nafasi nzuri ya kusonga mbele hatua inayofuata
Yanga ina mechi mbili nyumbani wakianza na Real Bamako kisha kufuatiwa na mchezo dhidi ya US Monastir
Kama Yanga itashinda mechi hizo itaweza kufikisha alama 10 pasipo kujali matokeo ya mchezo dhidi ya TP Mazembe
Ni mwendo wa hatua kwa hatua kwa sasa mkakati ni kuhakikisha ushindi unapatikana mchezo unaofuata dhidi ya Real Bamako

ADVERTISE HERE