Wadhamini wa Yanga kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Haier wanakuletea mchezo dhidi ya Real Bamako utakaopigwa saa 1 siku huko Mali
Ni kuanzia saa 11 jioni Makao Makuu ya Yanga Jangwani, Haier wataweka TV KUBWA kwa ajili ya Wananchi kushuhudia mchezo huo mbashara
Wanachama na Mashabiki wote wanakaribishwa kutazama mtanange huo ambao Yanga itakuwa ikizisaka alama tatu ugenini

ADVERTISE HERE