Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mratibu wa Yanga Hafidh Saleh
Hafidh amekuwa sehemu ya Yanga kwa zaidi ya miaka 10 akihudumu katika nafasi mbalimbali
Ndiye kiongozi mwandamizi zaidi katika benchi la ufundi la Yanga
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY HAFIDH...!
ADVERTISE HERE