Leo mchana, Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Makamu wa Rais Arafat Haji walijumuika kwa pamoja kwenye chakula cha mchana na wafanyakazi wa Yanga chini ya Afisa Mtendaji Mkuu Andre Mtine katika mgahawa wa AKEMI uliopo katikati ya jiji la Dar es salaam.
Mualiko huo maalumu wa Rais ulilenga kuwapongeza wafanyakazi wa Yanga kwa kazi nzuri wanayofanya

ADVERTISE HERE