Matchday : Yanga vs TP Mazembe, CAF CC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2023
Matchday : Yanga vs TP Mazembe, CAF CC

Majira ya saa 1 usiku Wananchi watakuwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na TP Mazembe katika mchezo muhimu wa kundi D, michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kutinga robo fainali

Hii ni mara ya tatu Yanga inacheza makundi ya Shirikisho, haikuwahi kufanikiwa kuvuka hatua ya makundi kwenda robo fainali

Hata hivyo ubora wa kikosi cha Yanga wakati huu unawapa mashabiki matumaini kuwa yawezekana msmu huu wanaweza kuishuhudia timu yao hatua ya robo fainali

Ili kufanikisha hilo, Yanga inapaswa kushinda mechi ngumu kama hii ya leo dhidi ya TP Mazembe

Ni wazi hautakuwa mchezo mwepesi, Mazembe sio timu ya kubeza licha ya wengi kuamini haina ubora waliokuwa nao misimu kadhaa nyuma

Vijana wa kocha Nasreddine Nabi wametoka kupoteza mchezo dhidi ya US Monastir hivyo leo wanahitaji kuwapa raha mashabiki wao kwa kutumia vyema uwanja wa nyumbani

Lakini pia leo ni siku kubwa kwa wachezaji wa Yanga kudhihirisha kuwa wao ni bora zaidi Tanzania kuliko timu yoyote

Wachezaji wa Yanga leo wanahitaji kuonyesha utofauti wa timu iliyowekeza kwenye soka dhidi ya timu zinazowekeza kwenye propaganda za mitandaoni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’